Thursday, February 2, 2017

ZOEZI LA UBADILISHAJI MITA DAWASCO LAENDELEA

Meneja wa DAWASCO Mkoa wa Ilala Christian Kaoneka pamoja na fundi kutoka DAWASCO wakibadilisha mita ya Maji chakavu na kuweka mita mpya ya Maji katika maeneo ya Mtaa wa Jamhuri jijini Dar es Salaam.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu