Tuesday, March 28, 2017

DIWANI VINGUNTI AJUMUIKA KUSAMBAZA KIFUSI MTAA WA MTAKUJA

Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti , Omary Kumbilamoto akisamba za kifusi katika barabara ya Mtakuja mara baada ya eneo hilo kuwa korofi kutokana na kuwepo kwa mashimo mengi ambayo yanajaa maji muda wote pindi mvua zinaponyesha.
Baadhi ya Vijana na Wakazi wa Vingunguti wa mtaa wa mtakuja wakijitolea kuchimba mitaro na kusambaza kifusi katika barabara ya mtaa wa Mtakuja.
Omary Kumbilamoto akisambaza kifusi katika mtaa wa mtakuja Vingunguti kuziba mashimo akiwa na watoto wadogo kwa lengo la kuwafundisha umuhimu wa kuwa wazalendo kujitolea katika shughuri za wananchi pindi watakapokuwa wakubwa.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu