Saturday, March 18, 2017

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WANA CCM PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCm Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin (katikati) akimkabidhi Mwakilishi wa Jimbo la Mkoani Pemba CCM pia Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri (kulia) vifaa vya Michezo kwa niaba ya Jimbo lake vitakavyotumika katika mashindano ya mpira wa miguu kwa majimbo 18 ya Pemba,chini ya ufadhili wa Mfanya bishara na Kada wa CCM Mohamed Raza Daramsi (kushoto) hafla iliyofanyika ukumbi wa Fidel Castro leo.
Miongoni mwa Vijana wa CCM wa Majimbo 18 ya mikoa ya Pemba CCM wakiwa katika
sherehe za kubabidhiwa vifaa vya Michezo vya Mpira wa Miguu vitakavyofanikisha mashindano ya Majimbo hayo,vilivyotolewa na Mfanya bishara na Kada wa CCM Mohamed Raza Daramsi na kukabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin (hayupo pichani) katika ukumbi wa Fidel Castro wilaya ya Chake chake Pemba leo
Miongoni mwa Vijana wa CCM wa Majimbo 18 ya mikoa ya Pemba CCM wakiwa katika  sherehe za kubabidhiwa vifaa vya Michezo vya Mpira wa Miguu  vitakavyofanikisha mashindano ya Majimbo hayo,vilivyotolewa na Mfanya  bishara na Kada wa CCM Mohamed Raza Daramsi na kukabidhiwa na Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa  CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin (hayupo pichani) katika ukumbi wa Fidel Castro wilaya ya Chake chake Pemba leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti  wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin (katikati) akimkabidhi Mwakilishi  wa Jimbo la Ziwani Suleiman Makame Ali (kulia) vifaa vya Michezo kwa  niaba ya Jimbo lake vitakavyotumika katika mashindano ya mpira wa miguu  kwa majimbo 18 ya Pemba,chini ya ufadhili wa Mfanya bishara na Kada wa  CCM Mohamed Raza Daramsi (kushoto) hafla iliyofanyika ukumbi wa Fidel  Castro leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti  wa CCm Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin akizungumza na Viongozi wa CCM na Vijana UVCCM wa Majimbo 18 ya Mikoa ya Pemba katika hafla ya kukabidhi  vifaa vya Michezo vilivyotolewa na Mfanyabishara na Kada wa CCM,pia  Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Unguja, Mohamed Raza Daramsi, hafla  iliyofanyika ukumbi wa Fidel Castro leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti  wa CCm Zanzibar Dk. Ali Mohamed Sheuin akipiokea Kombe la Mashindano ya  Mpira wa miguu katika Timu mbali mbali za majimbo 18 ya Mikoa ya  Pemba,kutoka kwa Mwanamichezo, Mfanyabishara na Kada wa CCM,pia  Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Unguja, Mohamed Raza Daramsi, (kushoto)  katika hafla ya kukabidhi vifaa vya Michezo vilivyotolewa na Raza katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Fidel Castro leo,

[Picha na Ikulu.]

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu