Monday, March 20, 2017

FESTO SANGA ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI

Fomu za Kugombea ubunge wa Africa Mashariki zimeanza kutolewa kwenye vyama mbalimbali hapa nchini. Kwa upande wa Chama cha Mapinduzi,tayari zaidi ya watu 50 wamechukua fomu ya kugombea ubunge huo, mmoja wao ni kada wa Chama cha Mapinduzi Festo Richard Sanga hii leo (20/03/2017) majira ya saa 4:30 asubuhi amechukua fomu ya kuomba ridhaa kwa chama chake (CCM) aweze kugombea Ubunge wa Bunge la AfriKa Mashariki.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu