Wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya Miundombinu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania wakiwasili kwenye ofisi za Tigo Jijini Dar Es salaam leo
Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akiwakaribisha wajumbe wa kamati ya kudumu ya Miundo mbinu, mara baada ya kuwasili katika ofisi za Tigo Kijitonyama leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akiwakaribisha wajumbe wa kamati ya kudumu ya Miundo mbinu, mara baada ya kuwasili katika ofisi za Tigo Kijitonyama leo.
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya Miundo mbinu, Prof. Norman Sigalla akifafanua jambo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez na mjumbe wa kamati hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akiongea na wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu kwenye kikao kilichofanyika leo ofisi za Tigo jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akifafanua jambo kwa wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu kwenye kikao kilichofanyika leo ofisi za Tigo jijini Dar Es Salaam.
Mjumbe wa kamati ya Miundombinu ya bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh. Anna Tibaijuka akiongea na wafanyakazi wa Tigo
Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Ufundi Tigo,Jerome Albou, akifafanua jambo kwa wajumbe wa kamati ya miundombinu ya bunge la Tanzania walipotembelea ofisi za Tigo leo.
Mjumbe wa kamati ya Miundombinu ya bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh. Anna Tibaijuka akiongea na wafanyakazi wa Tigo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akiongea na wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu kwenye kikao kilichofanyika leo ofisi za Tigo jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: