Monday, March 20, 2017

MAJALIWA ASHIRIKI UZINDUZI WA JUKWAA LA UCHUMI LA AFRICA MJINI PORT LOUIS- MAURITIUS

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Waziri Mkuu wa Swaziland , Barnabas Sibusiso Dlamini  katika uzinduzi wa Jukwaa la Uchumi la Afrika kwenye hoteli ya Westin  mjini Port Louis, Mauritius, Machi 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja  na viongozi wakuu wa nchi za Afrika walioshiriki katika uzinduzi wa  Jukwaa la Uchumi la Afrika kwenye Hoteli ya Westin mjini Port Louis  nchini Mauritius Machi 20, 2017.(Picha na 0fisi ya Waziri Mkuu)

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu