Thursday, March 9, 2017

MSANII BEN POL NA BARNABA THE BOY WATEMBELEA OFISI ZA WCB JIJINI DAR

 Mkurugenzi Mtendaji Mkuu WCB, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz akiwa na msanii Ben Pol mara baada ya kutembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
 Shake hands...
 Mkurugenzi Mtendaji Mkuu WCB, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz (wa pili kushoto) akiwa na msanii Barnaba mara baada ya kutembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Wengine wasanii walio katika lebo ya WCB, Harmonize (kulia) na Rich Mavoko (kushoto)

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu