Friday, March 17, 2017

MTOTO WA MIAKA 5 ANAISHI KWA KULA MAFUTA YA KULA LITA MOJA, SUKARI ROBO TATU NA MAZIWA LITA MBILI KWA SIKU

SHUKURU KISONGA ni mtoto wa 5 kuzaliwa katika familia ya marehemu KISONGA yenye watoto 5, ni wanafunzi wa kidato chapili shule ya Sekondari MGOMBA iliyopo wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma.

Amezaliwa mwaka 2001 , akiwa na mwaka mmoja tangu azaliwe shukuru anakubwa na ugonjwa ambao hadi sasa haujafahamika ni aina gani ya ugonjwa unaomsumbua , Tangu akubwe na ugonjwa huo mwaka 2002 hadi leo hii amekuwa akila vyakula ambavyo vinawashangaza watu.

Kwa undani wa habari hii bonyeza play. Na kwa yule atakayeguswa na tatizo hili la motto huyu anaweza kuwasiliana na mama yake mazazi kwa namba ya simu 0742 322 408 ili aweze kupata matibabu.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu