Wednesday, March 29, 2017

MTOTO WA MTANZANIA PATRICIA AONGOZA KATIKA SHINDANO LA REGIONAL LEVEL, CHARLOTTE, NC

Patricia Tayn mtoto wa mama Mtanzania anayesoma Blessed Sacrament Middle School ya Burlington, North Carolina ameibuka mshindi akiwa msichana pekee kwenye mashindano ya Regional level katika masomo ya Sayansi na hisibati yaliyofanyika Charlotte, North Carolina siku ya Ijumaa March 24, 2017.
Patricia Tayn mwanafunzi wa kwanza kushoto (mwenye fulana ya bluu) akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wengine kutoka shule mbalimbali jimbo la North Carolina walioshiriki shindano hilo.
Wapili toka kushoto ni Patricia Tayn akiwa katika picha ya pmoja n familia yake. wakwanza kushoto ni mama yake Scolla Tayn na watatu toka kushoto ni Bwn. Tayn baba ya Patricia.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu