Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa CCM Taifa
Abdulrahman Kinana kabla ya kuanza kwa kikao cha Halmashauri Kuu ya
Taifa ya CCM mkoani Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao hicho cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mkoani Dodoma.

Katibu mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana akizungumza mara baada ya kikao hicho kufunguliwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mkoani Dodoma.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana akizungumza mara baada ya kikao hicho kufunguliwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mkoani Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika foleni ya kuchukua chakula pamoja na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mkoani Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika foleni ya kuchukua chakula pamoja
na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mkoani Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk. John Pombe Magufuli akielezwa jambo na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC mjini Dodoma leo. kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk. John Pombe Magufuli akielezwa jambo na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk. John Pombe Magufuli akijadiliana
jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein kabla
ya kuanza kwa kikao cha NEC mjini Dodoma leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akishiriki kikao cha NEC mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk. John Pombe Magufuli akimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipokuwa akimfafanulia jambo kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC mjini Dodoma leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akishiriki kikao cha NEC mjini Dodoma leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo wakati wa mkutano wa NEC mjini Dodoma leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mjumbe kutoka mkoa wa Dodoma Adam Kimbisa katika kikao cha NEC mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk. John Pombe Magufuli akifungua kikao cha NECmjini Dodoma leo kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein .
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akifungua kikao hicho leo kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: