Monday, March 27, 2017

NITAENDELEA KUKIHESHIMU, KUKILINDA NA KUKITETEA MUDA WOTE CHAMA CHA MAPINDUZI -ASSAA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Ilala,Assaa Simba akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya kuwahakikishia wana CCM wa Ilala na maeneo mengine ya kwamba yeye ni mwana chama ataendelea kukiheshimu, kukilinda na kukitetea muda na wakati wote. Wanahabari wakimsikiliza Aliekuwa Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Ilala, Assaa Simba. Picha na Emmauel Massaka, Globu ya Jamii.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu