Tuesday, March 7, 2017

NYUMBA 124 ZILIZOPO KATIKA KATA YA BUYUNI NA PUGU ZAEZULIWA MAPAA


Nyumba 124 zilizopo katika kata za Buyuni na Pugu manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam zimeezuliwa mapaa kutokana na mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali hapo jana.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu