Thursday, March 9, 2017

OFISI YA WAZIRI MKUU YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI- WILAYANI KONGWA DODOMA

Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa katika maandamano ya kuiadhimisha Siku ya Wanawake yaliyofanyika Wilayani Kongwa Mkoa wa Dodoma Machi 8, 2017
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiburudika wakati wa kuisherekea Siku ya Wanawake katika Viwanja vya mikutano Wilayani Kongwa Dodoma Machi 8, 2017.
Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa sherehe ya Siku ya Wanawake iliyoadhi,ishwa kimkoa Wilayani Kongwa Dodoma.

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU - DODOMA).

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu