Thursday, March 23, 2017

PICHA YA LEO

Mhe.January Makamba akipiga picha (selfie) nje ya Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Tanga na Mbunge wa Viti Maalum Chadema Mhe. Hawa Bananga (kushoto) na Mhe. Julius Kalanga (kulia) ambaye ni Mbunge wa Monduli (Chadema). Mhe. January Makamba yupo mkoani Tanga katika ziara ya kikazi ambapo pia Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira ipo Mkoani hapo katika shughuli zake za kibunge. Picha na @imaninsamila

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu