Thursday, March 30, 2017

PROF. MUHONGO AZINDUA UJENZI WA MITAMBO YA KUZALISHA UMEME MRADI WA RUSUMO-NGARA

Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo akiwa katika kikao cha Mawaziri wa Rwanda na Burundi kabla ya Uzinduzi Rasmi wa kuanza ujenzi wa mitambo ya kuzalisha umeme Mradi wa Rusumo wa Megawati 80 kufanyika leo tarehe 30/3/2017, Ngara.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu