Sunday, March 19, 2017

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein walipokutana Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimlaki Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2017 kwa mazungumzo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongozana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2017 kwa mazungumzo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein bwakiagana baada ya  mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2017. PICHA NA IKULU.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu