Tuesday, March 14, 2017

TANZIA: AFISA MAWASILIANO WA SUMATRA, DAVID MZIRAI AFARIKI DUNIA

 Afisa Mawasiliano wa Mamlaka ya Usafiri wa nchikavu na Majini (SUMATRA), David Mziray amefariki dunia alfajiri ya kuamkia leo, taratibu za mazishi zinafanywa nyumbani kwake Kimara-Temboni jijini Dar es Salaam.

Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe Amen!

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu