Wednesday, March 22, 2017

TIGO WATOA SIMU 1,200 ZENYE THAMANI YA 112M/- KWA AJILI YYA ZOEZI LA USAJILI WA VYETI VYA KUZALIWA VYA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO MJINI GEITA

Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa Ally Maswanya akihutubia wakazi wa Geita mara baada ya uzinduzi wa mradi wa mpango wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka mitano katika mikoa ya Geita na Shinyanga ambapo kampuni ya simu za mkononi Tigo wametoa simu aina ya smartphone 1,200 zenye thamani ya Tshs. 133 zitakazo saidia kufanya usajili mikoani humo. Hafla iliyofanyika mkoani Geita jana.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Harrison Mwakyembe akimkabidhi mtoto Agnes cheti cha kuzaliwa mara baada ya uzinduzi wa mradi wa mpango wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka mitano katika mikoa ya Geita na Shinyanga ambapo kampuni ya simu za mkononi Tigo wametoa simu aina ya smartphone 1,200 zenye thamani ya Tshs. 133 zitakazo saidia kufanya usajili mikoani humo. Hafla iliyofanyika mkoani Geita jana.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Harrison Mwakyembe akizindua mradi wa mpango wa usajili wa watoto wa umri wa chini ya miaka mitano katika mikoa ya Geita na Shinyanga ambapo kampuni ya simu za mkononi Tigo wametoa simu aina ya smartphone 1,200 zenye thamani ya Tshs. 133 kwa ajili ya kusajili vyeti vya kuzaliwa.Hafla iliyofanyika mkoani Geita jana.
Baadhi ya akina mama na watoto wakiwa kwenye foleni kwaajili ya kujiandikisha.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Harrison Mwakyembe akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa serikali na wafanyakazi wa tigo,Unicef na RITA mara baada ya uzinduzi wa mradi wa mpango wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka mitano katika mikoa ya Geita na Shinyanga ambapo kampuni ya simu za mkononi Tigo wametoa simu aina ya smartphone 1,200 zenye thamani ya Tshs. 133 zitakazo saidia kufanya usajili mikoani humo. Hafla iliyofanyika mkoani Geita jana.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu