Tuesday, March 21, 2017

UBALOZI WA MAREKANI - TANZANIA WATOA MAFUNZO YA UANDISHI WA HABARI KWA WANAMITANDAO

Mkufunzi wa Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Mitandao (Multmedia Journalisim) Bi. Ricci Shryock kutoka nchini Senegal akiwaelezea machache wamiliki wa mitandao ya Jamii wakati wa mafunzo hayo yaliyoandaliwa na  kufadhiliwa Ubalozi wa Marekani - Tanzania na kufanyika kwenye Ubalozi wa Marekani jijini Dar es salaam leo Machi 21, 2017.
Baadhi ya washiriki wakifurahia jambo kutoka kwa mkufunzo huyo wakati wa mafunzo hayo.
Washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia mada zilizotolewa.
 
Mwandishi wa Habari Mpigapicha/blogger Cathbert Kajuna mmiliki wa Kajunason Blog akipokea cheti kutoka kwa Mkufunzi wa Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Mitandao (Multmedia Journalisim) Bi. Ricci Shryock kutoka nchini Senegal mara baada ya kumaliza mafunzo.
 Blogger John Kitime akifurahia cheti.
 Blogger Maduhu.
 Blogger Masama.
 Blogger Geofrey wa Pamoja Blog.

 Blogger Zainul Mzige.
 Blogger Audiface.
 Blogger Mbega.
 Blogger Paul.
Blogger Josephat Lukaza wa Lukazablog akipokea cheti chake.
Blogger John Bukuku mmiliki wa Fullshangwe Blog.
Mwanablog Shamim Mwasha wa 8020fashion akipokea cheti chake.
Mwanablog Freddy Njeje wa Blog za Mikoani akipokea cheti chake.
Mwanablog Vero kutoka mkoani Arusha akipokea cheti chake.
Katibu Msaidizi wa Chama cha Mabloga Tanzania Bloggers Network Krantz Mwantepele ambaye pia alikuwa mratibu wa mafunzo hayo akipokea cheti chake.
Missi Populer akipokea cheti chake mara baada ya mafunzo hayo.
Maofisa wa Ubalozi wa Marekani pamoja na Mkufunzi huyo wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo hayo. (PICHA KWA HISANI YA UBALOZI WA MAREKANI).

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu