Monday, March 13, 2017

WILAYA YA NYASA YAJA NA MKAKATI WA KUTOKOMEZA MIMBA ZA UTOTONI NA MASHULENI

Katika kuhakikisha mimba za utotoni na mashuleni zinatoweka katika wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, Wilaya hiyo inakuja na mkakati wa kuanzisha club za mashuleni ambazo zitakuwa zinatoa elimu juu ya athali za ngono zembe,mimba za utotoni na mimba mashuleni.
Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya hiyo ISABELA CHILUMBA wakati akizungumza na Ruvuma tv katika mahojino maalumu. Kwa undani wa habari hii bonyeza play.

KAMA ULIPITWA NA HII >>WATUMISHI WA SERIKALI WATUHUMIWA KUSHIRIKIANA NA WANANCHI KULIMA BANGI NYASA ,WATANO WAKAMATWA.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu