Tuesday, April 4, 2017

KAMPUNI YA SIMU YA TTCL INAONGOZAKWA KUTOA HUDUMA ZA INTANET BORA NA ZA UHAKIKA

Kwa sasa, juhudi za Rais Dkt. Magufuli kufufua huduma bora na za uhakika katika Mashirika na Makampuni ya Umma zinazidi kuleta *Matokeo chanyA+*

Kampuni Simu ya TANZANIA -TTCL ndiyo kampuni pekee inaongoza kwa sasa kwa kutoa huduma za intanet bora na za uhakika.

Rais wangu... *mzalendo na mchapakazi..*
Nchi yangu...

*Matokeo chanyA+*

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu