Tuesday, April 4, 2017

MSANII NEY WA MITEGO ASEMA USALAMA WA MAISHA YAKE UPO MATATANI BAADA YA KUTOA WIMBO WA 'WAPO'

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Nay wa Mitego amelalamika katika ukurasa wa Instagram yake kwa kusema kuwa kwa sasa maisha yake yakuwa hatarini tokea ametoa wimbo wake wa 'WAPO'

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu