Sunday, April 16, 2017

MWADHAMA POLYCARP KARDINALI PENGO AMUOMBEA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongoza maombi kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli baada ya ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Aprili 16, 2016.
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akimuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli baada ya ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Aprili 16, 2016. PICHA NA IKULU

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu