Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda alipowasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam.. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa  alipowasili  kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Kiushoto ni Mama Janeth Magufuli na kulia ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala wakati akiwasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mama Janeth Magufuli na kulia ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga akiwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala wakati akiwasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Nyuma yake ni Mama Janeth Magufuli 
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea salutitoka kwa kamanda wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni SACP  Suzana Kaganda wakati akiwasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala wakati akiwasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi huku Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Eng Stella Manyanya  na  Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Peter Serukamba wakfurahia wakati akiwasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza meza kuu kuimba wimbo wa Taifa
 Wimbo wa Taifa
 Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali  Michael Wambura Isamuhyo akipiga saluti wakati wa wimbo wa Taifa
 Kwaya ya Chuo Kikuu ikitoa buridani
 Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi, Teknolojia na Ufundi Dkt. Leornad Akwilapo akitoa muhtasari wa shughuli
 Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
 Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
 Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
 Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
 Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
 Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
 Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
 Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
 Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu  cha Dar es salaam

  Wasanii nyota wa Bongo Movie na wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu  cha Dar es salaam
  Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu  cha Dar es salaam
  Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu  cha Dar es salaam
  Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu  cha Dar es salaam
  Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu  cha Dar es salaam
  Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu  cha Dar es salaam
  Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu  cha Dar es salaam
  Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu  cha Dar es salaam
  Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu  cha Dar es salaam
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akiongea machache
  Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala akisoma muhtasali wa mradi huo
 Rais wa wanafunzi wa UDSM akisema machache kabla ya kukabidhi zawadi kwa Rais
 Rais wa wanafunzi wa UDSM akikabidhi zawadi kwa Rais
 Kwaya ya UDSM ikitumbuiza
 Wanahabari wa Global TV wakiwa kazini kurusha tukio mubashara
 Mkuu wa Idara ya Sanaa za Ubunifu Dkt. Kedmon Mapana akiongoza kwaya kwa ustadi mkubwa

 Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Husseij Mwinyi akiongea machache
 Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa akiongea machache
 Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Prof. Joyce Ndalichako akiongea
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakisimama kwa muda kuomboleza vifo vya askari polisi nane waliouwawa Kibiti 
 Mwenyekiti wa Bunge na Mbune wa Ilala  Mhe Mussa Hassan Zungu akiongea machache
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi
Wahadhiri na wageni waalikwa wakifuatilia hotuba ya  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
 Wahadhiri wakifurahia hotuba ya Rais
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsifia Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga kwa kufanikisha mradi huo kwa muda wa chini ya mwaka mmoja na kwa gharama nafuu kabisa.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi
 Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Profesa Kitila Mkumbo akiitikia jambo 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi
 Mama Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Tawala wa wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wahadhiri waandamizi
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakielekea eneo la uzinduzi
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakielekea eneo la uzinduzi
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua rasmi majengo hayo
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Profesa Mukandala baada ya kuzindua rasmi majengo hayo
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo baada ya kuzindua rasmi majengo hayo

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba  baada ya kuzindua rasmi majengo hayo
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea  na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba  baada ya kuzindua rasmi majengo hayo
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea  na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba  baada ya kuzindua rasmi majengo hayo
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuzindua rasmi majengo hayo
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua mabweni  baada ya kuzindua rasmi majengo hayo

 Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba  na  Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Peter Serukamba  wakiangalia mabweni baada ya kuzindua rasmi majengo hayo
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na maprofesa  mbalimbali
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi wa majeshi na chuo 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa wanafunzi na chuo
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Dar es salaam
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wadau wa chuo na viongozi mbalimbali
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wadau wa chuo na viongozi mbalimbali
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala baada ya kuhitimishwa kwa hafla hiyo. PICHA NA IKULU.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: