Best man na Matron wakiingia ukumbini. Picha zote kwa hisani ya chrismauki.com
Mr. & Mrs. Godwin Msigwa wakifurahia usiku wa harusi yao
Mtumishi wa Mungu, Pastor Abel akifungua kwa sala
MC. Dr. Chris Mauki akitoa maelezo kwenye usiku wa Mr. Mrs. Godwin Msigwa.
Mr. Godwin Msigwa akitambulisha ndugu, jamaa na marafiki waliofika ukumbini
MC. Dr. Chris Mauki.

Aliyekuwa Kamanda wa Polisi katika Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova , naye alikuwepo kwenye usiku wa Mr. & Mrs Godwin Msigwa.
MC. Dr. Chris Mauki akiwa ameshikilia zana za kazi kwenye usiku wa Mr. Mrs. Godwin Msigwa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: