Thursday, May 4, 2017

HUSSEIN MACHOZI AACHIA VIDEO NA WIMBO MPYA ‘NIPE SIKUACHI’

Baada ya kukaa kimya kwa miezi kibao bila kuachia wimbo, Hussein Machozi ameachia wimbo mpya uitwao, Nipe Sikuachi. Wimbo huo umetayarishwa na mshindi wa tuzo ya mtayarishaji bora wa Bongo Flava katika miaka tofauti, Man Walter kupitia studio zake za Combination Sound.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu