Thursday, May 11, 2017

MAJERUHI WATATU WA AJALI ILIYOUA WANAFUNZI 30 WA SHULE YA LUCK VICENT KUPELEKWA NCHINI MAREKANI KWA MATIBABU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu  Hassan akimjulia hali Doreen Mshana mwenye umri wa miaka 13 ambaye ni mmoja wa majeruhi waliolazwa kwenye hospitali mkoa wa wa  Arusha ya Mt. Meru, Doreen ni mmoja ya waliojeruhiwa katika ajali  waliopata wanafunzi wa Lucky Vincent (Picha na Ofisi ya Maku wa Rais).

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu