Polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SARPCO, wakimsikiliza Makamu wa Rais,Samia Suluhu Hassan alipokuwa akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo ya siku tatu.
Makamu wa Rais Mh.Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo wakati akifungua mafunzo ya siku tatu ya polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SARPCO,leo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere,jijini ,Dar es Salaam.Mh Samia ndiye mgeni rasmi wa mafunzo hayo.Picha na Adam Mzee/VPO.
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SARPCO,leo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini, Dar es Salaam. Mh Samia ndiye mgeni rasmi wa mafunzo hayo. Picha na Adam Mzee/VPO.
Makamu wa Rais Mh.Samia Suluhu Hassan akifuatilia moja ya taarifa wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SARPCO.Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere ,Dar es Salaam.Kushoto kwake ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu.
Polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SARPCO wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mafunzo hayo ya siku tatu.
Makamu wa Rais (wa nne kulia) Mh.Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SARPCO, leo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini ,Dar es Salaam.Mh Samia ndiye mgeni rasmi wa mafunzo hayo.Picha na Adam Mzee/VPO.
Mafunzo ya siku tatu ya polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SARPCO,yakiendele leo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere,jijini, Dar es Salaam. Mh Samia ndiye mgeni rasmi wa mafunzo hayo.Picha na Adam Mzee/VPO.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni wakati wa Mafunzo ya siku tatu ya polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SARPCO, yakiendele leo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere,jijini, Dar es Salaam.
Baadhi ya Askari wanaoshiriki ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SARPCO, wakiwasili kwa Gwaride katika. Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere ,Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: