Sunday, May 28, 2017

MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI TANGA

Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage kuwa mgeni kwenye maonyesho ya kimataifa yatakayoanza kesho kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akikagua mabanda mbalimbali kuelekea uzinduzi wa maonyesho ya kimataifa yatakayofunguliwa kwenye na Waziri Mwijage.
Mkuu wa wilaya ya Tanga, Thobias Mwilapwa akisalimiana na wanawake wajasiriamali wakati akikagua mabanda mbalimbal kuelekea uzinduzi wa maonyesho ya kimataifa yatakayofunguliwa kwenye na Waziri Mwijage.
Mkuu wa wilaya ya Tanga, Thobias Mwilapwa akisalimia na baadhi ya wajasiriamali wakati apokuwa akikagua mabanda mbalimbali kuelekea uzinduzi wa maonyesho ya kimataifa yatakayofunguliwa na Waziri Mwijage.
Baadhi ya watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) wakiendelea na matayarisho ya Banda lao ambalo lipo kwenye viwanja Mwahako Jijini Tanga.
Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yatakayoanza kesho kwenye viwanja vya Mwahako Salehe Masoud kushoto akimuonyesha kitu Mkuu wa wilaya ya Tanga, Thobias Mwilapwa wakati alipokwenda kukagua na kutembelea kuona maendeleo ya mabanda hii leo.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu