Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni akishirikiana na Viongozi wengine kufungua Gereza la Wanawake
wilayani Mpwapwa lililojengwa na wataalamu ambao ni askari magereza kwa
kushirikiana na wafungwa.Ufunguzi huo umefanyika wilaya ya Mpwapwa,
mkoani Dodoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Gereza la Wanawake wilayani
Mpwapwa lililojengwa na wataalamu ambao ni askari magereza kwa
kushirikiana na wafungwa.Gereza hilo limegharimu jumla ya shilingi
milioni 65 .Ufunguzi huo umefanyika wilaya ya Mpwapwa, mkoani
Dodoma.
Mbunge wa Jimbo la Mpwapwa, Mheshimiwa George Lubeleje , akizungumza
wakati wa ufunguzi wa Gereza la Wanawake wilayani Mpwapwa lililojengwa
na wataalamu ambao ni askari magereza kwa kushirikiana na
wafungwa.Gereza hilo limegharimu jumla ya shilingi milioni 65 .Ufunguzi
huo umefanyika wilaya ya Mpwapwa,mkoani Dodoma.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, Dk. Juma Malewa,
akizungumza wakati wa ufunguzi wa Gereza la Wanawake wilayani Mpwapwa
lililojengwa na wataalamu ambao ni askari magereza kwa kushirikiana na
wafungwa.Gereza hilo limegharimu jumla ya shilingi milioni 65 .Ufunguzi
huo umefanyika wilaya ya Mpwapwa,Mkoani Dodoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni (wa pili kulia), akiongozana na Kamishna Jenerali wa Magereza
Nchini, Dk. Juma Malewa (kulia) kuelekea katika eneo lilipo Gereza la
Wanawake Mpwapwa, lililojengwa na wataalamu ambao ni askari magereza kwa
kushirikiana na wafungwa.Gereza hilo limegharimu jumla ya shilingi
milioni 65 .Ufunguzi huo umefanyika wilaya ya Mpwapwa,mkoani
Dodoma.
Wananchi wa Mpwapwa wakimsikiliza Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa Gereza la Wanawake wilayani Mpwapwa lililojengwa na wataalamu ambao ni askari magereza kwa kushirikiana na wafungwa.Gereza hilo limegharimu jumla ya shilingi milioni 65. Ufunguzi huo umefanyika wilaya ya Mpwapwa, mkoani Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
Toa Maoni Yako:
0 comments: