Tuesday, May 16, 2017

MBUNGE WA JIMBO LA TANGA ALHAJI MUSSA MBARUKU ATEMBELEA KUONA ATHARI ZA MAFURIKO ENEO LA NEEMA DARAJAN

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)Alhaj Mussa Mbaruku kulia akisisitiza jambo wakati alipotembelea eneo laNeema kujionea athari za uharibifu wa barabara ya Tanga hadi Pangani kutokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi na kusababisha barabara hiyo kutokupitika
Mbunge wa Jimbo la Tanga(CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akitazama
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kulia akipata maelekezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Bacc Technicla co.Ltd ya Mkoani Dodoma, Husein Bakeme kuhusu namna wanayofanya kuondoa adha hiyo.
Creda likiendelea kufanya kazi ya kurekebisha barabara ya Tanga -Pangani eneo la Neema ambalo lilikuwa halipitiki kutokana na kuharibika vibaya na kusababisha magari kushindwa kupita.
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akiteta jambo na wapiga kura wake mara baada ya kutembelea eneo la Neema ambalo limeathirika kwa miundombinu ya barabara kuharibika kutokana na mvua kubwa zilizonyesha jijini Tanga

Habari kwa hisani ya Tanga Raha blog.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu