Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu akizungumza jambo na mmoja wa marubani wa shirika la Samaritan's Purse kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro kabla ya wanafunzi watatu hawajaelekea Marekani kwa matibabu kufuatia ajali iliyotokea wilayani Karatu wiki iliyopita.
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akifurahia jambo na mmoja wa marubani wa kampuni ya Samaritan's Purse kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro kabla ya wanafunzi watatu hawajaelekea Marekani kwa matibabu kufuatia ajali iliyotokea wilayani Karatu wiki iliyopita.
Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu akizungumza jambo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro.
Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini,Lazaro Nyalandu na Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo wamjulia hali Doreen Elibarick
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akimsalimia Doreen Elibarick kabla ya kupanda ndege kwenda Marekani kwa matibabu.
Utaratibu wa kuwaingiza kwenye gari kisha kwenye ndege ukiendelea na maafisa wa uwanja wa ndege wa KIA.
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akifurahia Kadi zilizoandaliwa na wanafunzi wa shule ya ISM kwaajili ya wanafunzi wenzao.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: