Monday, May 1, 2017

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI FLORENCE HENRY NA DAUDI BUSEKWA WAFUNGA PINGU ZA MAISHA

Mwimbaji wa nyimbo za injili, Florence Henry zamani alikuwa akijulikana kwa jina la Flora Mbasha, jana amefunga pingu za maisha na Daudi Busekwa jijini Mwanza.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu