Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadik katika uwanja wa
Ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro KIA mara baada ya kumaliza ziara yake
ya kikazi ya siku tatu mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadik wakati
akielekea kupanda ndege katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa
Kilimanjaro KIA mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi ya siku tatu
mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono na kuwashukuru viongozi mbalimbali wa Serikali, Kidini na Taasisi mbalimbali waliomsindikiza katika katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro KIA mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi ya siku tatu mkoani humo. PICHA NA IKULU.
No comments :
Post a Comment