Tuesday, May 9, 2017

RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA WA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA (AMBULANCE) KWA WABUNGE WA NKASI, TABORA NA SHINYANGA

Wabunge wa Nkasi, Tabora na Shinyanga wakiwasili tayari kukabidhiwa magari la  kubebea wagonjwa waliyopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9,  2017
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwakaribisha Wabunge Mhe Ali  Mohamed Kessy (Nkasi Kaskazini) Mhe. Munde tambwe (viti maalumu - Mkoa  wa Tabora) na Mhe Lucy Mayenga (viti maalumu-mkoa wa Shinyanga) kupokea  magari ya kubebea wagonjwa waliyopewa saada na Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akimwangalia Mbunge wa Nkasi Mhe Ali  Mohamed Kessy baada ya kumkabidhi gari la kubebea wagonjwa alilopewa  msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe  Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akimwangalia Mbunge wa Viti Maalumu  Mhe Lucy Mayenga baada ya kumkabidhi gari la kubebea wagonjwa alilopewa  msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe  Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akimwangalia Mbunge wa Viti Maalumu  Mhe. Munde baada ya kumkabidhi gari la kubebea wagonjwa alilopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi (kati) akiwa na Katibu Mkuu Ikulu Mhe. Alphayo Kidata (Kushoto) na Mkurugenzi wa Huduma Ikulu Bw. Charles  Mwankupili (kulia) na Wabunge Mhe Ali Mohamed Kessy (mbunge wa Nkasi  Kaskazini) Mhe. Munde tambwe na Mhe Lucy Mayenga (wabunge viti maalumu) baada ya kuwakabidhi magari la kubebea wagonjwa waliyopewa msaada na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu  jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017.

PICHA NA IKULU.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu