Monday, May 1, 2017

SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA LAZINDUA RASMI USAFIRI WA ANGA DAR – SONGEA

Wafanyakazi wa shirika la ndege Tanzania (ATCL) wakigawa wine kwa viongozi ambao wamehudhuria uzinduzi wa usafiri wa anga Dar es Salaam – Songea, kupitia shirika hilo katika uwanja wa ndenge wa songea mkoani Ruvuma.Kwa undani wa habari hii tiazama video yake hapo chini.

Shirika la ndege Tanzania laanza kuto uduma za usafiri wa anga mkoani ruvuma.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu