Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta katika picha ya pamoja na viongozi wa UN Habitat na wakuu na wawakilishi wa mataifa mbalimbali katka Mkutano huo. Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt. Pindi Chana ni wa pili kutoka kushoto mbele.
Kutoka kushoto ni Bw. Abilah Hassani Namwambe Afisa Mambo ya Nje kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki , Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt. Pindi Chana pamoja na Bw. Martin Barugahare Kiongozi kutoka UN Habitat Nairobi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: