Monday, June 26, 2017

AIRTEL TANZANIA YAFUTURISHA WAFANYAKAZI WAKE MWISHONI MWA RAMADHAN

Wafanyakazi mbalimbali wa airtel washiriki futari iliyoandaliwa na uongozi wa kampuni hiyo jana ikiwa ni kuwasindikiza wenzao wenye imani ya kiislam waliokuwa wakiutumikia mwezi wa ramadhan kwa funga na ibada.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu