Tuesday, June 20, 2017

AIRTEL YASHEREKEA SIKU MAALUM YA TAALUMA (CAREER DAY) NA WANAFUNZI WA TIA

Afisa Masoko wa kampuni ya Airtel Kitengo cha Wanafunzi, Prosper Mwanda akitoa elimu kwa Wanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), kuhusu fursa na bidhaa mbalimbali zinazotolewa na kampuni hiyo, wakati wa Siku Maalum ya Taaluma (Career Day), iliyofanyika katika taasisi hiyo Kurasini jijini Dar es Salaam jana.
Afisa Masoko wa kampuni ya Airtel Kitengo cha Wanafunzi, Prosper Mwanda (mwenye miwani), akifafanua jambo kwa wateja waliotembelea Banda la kampuni hiyo, wakati wa Siku Maalum ya Taaluma (Career Day), iliyofanyika katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), iliyopo Kurasini jijini Dar es Salaam jana.
Afisa Masoko wa kampuni ya Airtel Kitengo cha Wanafunzi, Prosper Mwanda (kushoto), akikabidhi zawadi za fulana kwa Wanafunzi (kutoka kulia), Safia Shariff, Renatha Renatus na Samuel Solomon baada ya kushinda chemsha bongo ya Airtel, wakati wa Siku Maalum ya Taaluma (Career Day), iliyofanyika katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), iliyopo Kurasini jijini Dar es Salaam jana.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu