Saturday, June 24, 2017

BALOZI ADADI AWAFUTURISHA WAKAZI WA JIMBO LAKE

Mbunge wa Jimbo la Muheza (CCM) Balozi Adadi Rajabu akizungumza na wananchi wa Jimbo hilo mara wakati wa futari iliyoandiandaa nyumbani kwake kwa wananchi.
Mbunge wa Jimbo la Muheza(CCM) Balozi Adadi Rajabu kushoto katikati ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Muheza wakiwa na wageni waalikwa wakipiga dua.
Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat, Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza wakati wa futari
hiyo.
Wageni waalikuwa wakipata futari hiyo ambayo iliandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Muheza, Balozi Adadi Rajabu nyumbani kwake.
Wageni waalikuwa wakipata futari hiyo ambayo iliandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Muheza,Balozi Adadi Rajabu nyumbani kwake.
MNEC wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Mkinga,Mwasingo naye akipata futari hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Muheza (CCM) Balozi Adadi Rajabu akiwa na wananchi wa Jimbo lake wakipata futari.
Mwandishi wa AZAM TV mkoani Tanga, Mariam Shedafa kulia na Anna Peter wakipata futari
Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat, Mhandisi Mwanasha Tumbo kushoto mwenye kikombe cha chai akipata futari na wageni wengine.
Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza (DAS) Desderia Haule (kulia) akipata futari na wageni wengine waalikuwa nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Muheza, Balozi Adadi Rajabu.
Mbunge wa Jimbo la Muheza Mkoani Tanga, Balozi Adadi Rajabu kushoto akiteta jambo na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza wakati wa futari hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Muheza Mkoani Tanga, Balozi Adadi Rajabu akiagana na wananchi waliofika kupata futari nyumbani kwake.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu