Friday, June 16, 2017

BALOZI MASIMA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA TAIFA LA ISRAEL

Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe. Masima akipokewa kwa nyimbo za taifa baada ya kuwasili kwenye Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem kabla ya kuwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais wa taifa hilo Mhe. Reuven Rivlin.
Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe. Masima akiweka saini kwenye kitabu maalumu cha wawakilishi wa nchi za nje kwenye Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem kabla ya kuwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais wa taifa hilo Mhe. Reuven Rivlin aliyesimama kulia kwake.
Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe. Masima akijitambulisha kwa Rais wa taifa hilo Mhe. Reuven Rivlin kabla ya kuwasilisha hati zake za utambulisho.
Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe. Masima akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Taifa la Israel Mhe. Reuven Rivlin Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem
Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe. Masima akiwasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Taifa la Israel Mhe. Reuven Rivlin Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu