Tuesday, June 6, 2017

BWANA HILARY MASELE NA BI. VERONICA SANTUS WAFUNGA NDOA JIJINI DAR

Bwana Hilary Masele akimvalisha pete mkewe Bi. Veronica Santus wakati wakifunga ndoa katika kanisa la Katoriki la Mtakatifu Petro Osterbay jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Bwana Hilary Masele na mkewe Bi. Veronica Santus wakionyesha sura za furaha mara baada ya kufunga ndoa katika kanisa la Katoriki la Mtakatifu Petro Osterbay jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Furaha mara baada ya kumalisha kufunga ndoa.
Wakiwa na nyuso za furaha Bwana Hilary Masele na mkewe Bi. Veronica Santus wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufunga ndoa yao katika kanisa katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay Juni 3, 2017 na kufuatiwa na hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi Wa Mango Garden Kinondoni jinini Dar es Salaam.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu