Saturday, June 3, 2017

KIWANJA KINAUZWA - KIGAMBONI KIBADA - DAR

Muonekano wa Kiwanja. Ni Kuanzia mwanzo wa Picha mpaka mwisho wa Ukuta upande wa kushoto.
Muonekano wa Kiwanja. Ni Kuanzia mwanzo wa Picha mpaka mwisho wa Ukuta upande wa kushoto

Mwanzo wa Picha Mpaka kwenye ukuta wa Ghorofa kule

Kiwanja Kipo KIGAMBONI KIBADA

Ukubwa wa Kiwanja ni Mita za Mraba (Sqmeter) 1088 (34*32)M

Kiwanja kina hati safi na hakina mgogoro

Bei ni Milioni 65 Maongezi kidogo yapo na Kiwanja hiki kinauzwa Na Mwenye Nacho

Kwa Mawasiliano 0786 821 613

Karibu mwenye Uhitaji. Biashara Maelewano Hata.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu