Friday, June 30, 2017

PSPF YAENDELEA KUTOA ELIMU YA UJASILIAMALI KWA WASTAAFU WAKE MKOANI KILIMANJARO


Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko Pesheni PSPF, Adam Mayingu, akisoma hotuba ya ukaribisho kwa mageni rasimi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira.

Washiriki wa Semina ya wachama wa PSPF wasitaafu watarajiwa,semina hiyo ilifanyika jana katika Mkoa wa Kilimanjaro.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pesheni PSPF Adam Mayingu kushoto,akimkabidhi kadi ya uwanachama wa mfuko wa Peesheni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira kulia.
Mwanachama Mpya wa Mfuko wa Pesheni ya PSPF Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira akifurahia baada ya kukabidhiwa kadi jana kwenye uzinduzi wa Semina ya wasitaafu watarajiwa.
Wanachama wa mfuko wa Pesheni ya PSPF, wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rami Mkuu wa Mkoawa Kilimanjaro Anna Mghwira na baadhi wa viongozi walio kuwa wameekaa meza kuu.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira,akiagana na wanachama wa sitaafu watarajiwa wa Mfuko wa PSPF,baada ya kufungua semina jana Mkoa wa Kilimanjaro.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu