Thursday, June 22, 2017

RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA MATUNDA CHA SAYONA CHALINZE MKOANI PWANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza baada ya kufungua kiwanda cha Matunda cha Sayona Fruits kilichopo Mboga Chalinze mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kiwanda hicho cha Matunda cha Sayona Fruits kilichopo Mboga Chalinze mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wakazi wa Kiwangwa wakati akielekea kufungua barabara ya bagamoyo-Msata mkoani Pwani. PICHA NA IKULU.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu