Wednesday, June 21, 2017

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA VIFUNGASHIO CHA GLOBAL PACKAGING (T) LTD KIBAHA -PWANI

 Rais Dkt. John Pombe Magufuli afungua kiwanda cha vifungashi cha Global Packaging (T) LTD mjini Kibaha asubuhi hii ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake ya siku tatu ya mkoa wa Pwani.
Rais Dkt. Magufuli akiwa na vingozi wenzake ikiwemo Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Charles Mwijage, Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, Mkuu wa Mkoa wa Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo akipata maelekezo mara baada ya kufungua kiwanda cha vifungashi cha Global Packaging (T) LTD mjini Kibaha asubuhi hii ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake ya siku tatu ya mkoa wa Pwani. PICHA NA IKULU.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu