Thursday, June 22, 2017

RAIS DKT. MAGUFULI AWAANDALIA FUTARI WANANCHI WA MKOA WA PWANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika foleni ya kunawa na kisha kuchukua chakula leo Jumatano Juni 21, 2017 katika futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha ambayo ilihudhuriwa pia na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ali pamoja na viongozi wengine wa dini, serikali, vyama na watoto wanaolelewa kwenye kituo cha yatima mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli (wa pili kulia) akichukua chakula leo Jumatano Juni 21, 2017 katika futali aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani futari katika Ikulu ndogo ya Kibaha
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akichukua chakula leo Jumatano Juni 21, 2017 katika futali aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani futari katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Kina mama wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kibaya Mhe. Asumpta Mshama wakichukua chakula wakati wa futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha
Kina mama wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kibaya Mhe. Asumpta Mshama wakichukua chakula wakati wa futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoa neno la shukrani leo Jumatano Juni 21, 2017 wa waliohudhuria futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha
Mmoja wa wazee Maarufu wa Kibaha ambaye ni Kamishna Mkuu wa Magereza Mstaafu Mzee Jumanne Mangara (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Bagamoyo Sober House Bw. Alkareem Bhanji (kati) na Mdau Oshiro
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akiwa na Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete na Mbunge wa Kibaha Mjini Mhe. sylvester Koka na wadau
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ali baada ya kuzungumza machache wakati wa futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Kaimu Shehe Mkuu wa Mkoa wa Pwani Sheikh Hamis Mtupa akitoa neno la shukurani kwa futari aliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Kaimu Shehe Mkuu wa Mkoa wa Pwani Sheikh Hamisi Mtupa baada ya kuzungumza machache wakati wa futari aliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ali akizungumza machache na kuomba dua baada ya futari iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Sehemu ya waalikwa wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ali baada ya futari iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Sehemu ya waalikwa wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ali baada ya futari iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Sehemu ya waalikwa wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ali baada ya futari iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa meza kuu na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng. Ndekilo, Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ali, Kaimu Shehe wa Mkoa wa Pwani Sheikh Hamis Mtupa na Padri R. Mukandara
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizunguka meza hadi meza kupeana mikono na kuwashukuru waalikwa kwa kufika katika futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizunguka meza hadi meza kupeana mikono na waalikwa katika futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mbunge wa Kibaha Vijijini Mhe Hamoud Juma baada futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizunguka meza hadi meza kupeana mikono na waalikwa katika futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mbunge wa Kibaha Mjini Mhe Sylvester Koka baada futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizunguka meza hadi meza kupeana mikono na waalikwa katika futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha. Hapa akipeana mikono na Bw. Petro Magoyi
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizunguka meza hadi meza kupeana mikono na waalikwa katika futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.Hapa anapeana mikono na Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete ambaye yupo na Katibu wa Itikadi wa CCM Ndg. Humphrey Polepole
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiendelea kuagana na wageni wake baada futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Mzee Mwinshehe Mlai baada futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ali baada ya futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha. PICHA NA IKULU

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu