Monday, June 26, 2017

TIGO YAFUTURISHA WATOTO WA KITUO CHA YATIMA CHA UMRA, MAGOMENI-DAR

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Tigo wakiwa kwenye foleni kushiriki futari pamoja na watoto wa kituo cha Umra Orphanage kilichopo Magomeni Jijini Dar es Salaam 
Watoto wa kituo cha Umra Orphanage kilichopo Magomeni wakipata futari iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar Es Salaam. 
Watoto wa kituo cha Umra Orphanage kilichopo Magomeni wakiwa katika foleni kupata futari iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar Es Salaam. 
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Tigo wakiwa kwenye foleni kushiriki futari pamoja na watoto wa kituo cha Umra Orphanage kilichopo Magomeni Jijini Dar es Salaam.
Watoto wa kituo cha Umra Orphanage kilichopo Magomeni wakipata futari iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam. 

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu