Saturday, June 3, 2017

TIMU YA TUSKER YAWASILI DAR KUSHIRIKI MICHUANO YA SPORTPESA INAYOANZA JUNI 5 UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES ASALAAM

Wachezaji wa timu ya Tusker ya Kenya wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, tayari kwa ajili ya michuano ya Sportpesa itakayo anza kutimua vumbi Juni 5 mwaka huu katika uwanja wa Uhuru maarufu kama shamba la bibi. Michuano hiyo imedhaminiwa na Kampuni ya Sport Pesa kwa kuzishirikisha timu zinazo dhaiminiwa na kampuni hiyo za nchi ya Kenya na Tanzania.
Wachezaji wa timu ya Tusker ya Kenya wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, tayari kwa ajili ya michuano ya Sportpesa itakayo anza kutimua vumbi Juni 5 mwaka huu katika uwanja wa Uhuru maarufu kama shamba la bibi.Michuano hiyo imedhaminiwa na Kampuni ya Sport Pesa kwa kuzishirikisha timu zinazo dhaiminiwa na kampuni hiyo za nchi ya Kenya na Tanzania. Picha na Mafoto Blog

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu