Tuesday, June 20, 2017

WANAFUNZI WA KITANZANIA WANG'ARA NCHINI MAREKANI

 Baadhi ya wanafunzi wa shule ya kimataifa Feza wakiwa na furaha nchini Marekani baada ta kushinda medali za dhahabu kwenye mashindano ya Genius Olympiad. Kushoto ni Abdulrazak Juma Mkamia wa pili Rashid Jakaya Kikwete na watatu ni Abdalah Rubeya yaliyoshirikisha nchi zaidi 63 duniani huko Marekani juzi.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu